Wednesday, May 1, 2013
PICHA 10 ZA LIVE YA CLOUDS TV MAY 1 2013
Posted by
jack moffat donald
Ilikua ni time ya kuwaona Watangazaji mbalimbali wa Clouds TV kwenye matangazo ya Live kutoka Escape One Mikocheni Dar es salaam wakiamplfy kuhusu msimu uliopita na kisha page mpya…. cha kufanya ni kuwa kuimiliki remote yako kupitia channel 109 Startimes kufahamu kinachofata, pia unaweza kujiweka karibu zaidi ya @Clouds_TV kwenye twitter
Kwa mbali wanaonekana wasoma Habari, Jacky na Ngoso.
Doreen Andrew akiwa na meneja wa vipindi Clouds TV, Lee Ndayisaba.
Ilikua ni time ya kuwaona Watangazaji mbalimbali wa Clouds_Tv
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
kama vipi tupia mchango wako hapa ndungu mdau